Nikisimamia show ndani ya duka,mwezi huu wa tatu kutakuwa nanew arrival kibao mari mpya inafunguliwa karibu ujipatie utakacho ,EvD COLLECTION ,dukalipo mwenge nyuma ya Nakiete pharmarcy kuna uwanja wa mpira pembeni yake , kwa mahitaji yako ya mavazi viatu sandozi nk karibuni wote
Wednesday, February 29, 2012
Wednesday, February 22, 2012
Tuesday, February 21, 2012
"VIBAJAJI" VIPO EvD COLLECTION
Vibajaji navyo vipo ndani ya EvD Collection ,karibu ujipatie vya aina mbali mbali pamoja na rangi tofauti ndani duka la EvD collection
Sunday, February 12, 2012
T-shirt yenye nembo ya Gentlemen
kivalentine valentine beby
Hizi T-shirt zipo pia za mikono mirefu pamoja na top za pink nyeusi na white
Saturday, February 11, 2012
EvD collection ,duka kwa mahitaji yako.
Karibu ujipatie Nguo za kike na kiume kama vile T-shirt ,blauzi ,Top,Magauni ya kisasa Suti za kike,jeans za kike na kiume (vimodo) sandozi za kimasai zenye muonekano mpya mapochi ya kike ya kisasa yenye rangi za kuvutia bangili ,heleni na mikufu na mambo mengine kibao.Duka lipo Mwenge nyuma ya Nakiete House kanisa la KKKT,dickson_kambanga@yahoo.com
Utambulisho wa EvD collection Blog
Karibuni sana katika Blog hii Ambapo tutakuwa tunashirikiana pamoja katika mambo mbali mbali yanayotuzunguka hasa maswala ya kiujasiliamali katika lengo la kupambana na umaskini na na kujikwamua na tatizo hili la ukosefu wa ajila.kwa maoni ushauri na mapendekezo,habari mbali mbali pamoja na matangazo ya aina mbalimbali tumia email inayoonekana hapo akwenye profile au kwa simu namba 0776 91 3 8 92,0655 77 17 51.asanteni sana.
Subscribe to:
Posts (Atom)